UKUAJI wa mtoto kibaiolojia huanza kuhesabiwa tangu siku ya kwanza mimba inapotungwa. Wataalamu wa afya wanazitaja siku 1,000 za ukuaji huo kuwa muhimu zaidi kwa afya ya mama na mtoto. Wiki 36 na ...
Wazee kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kisarawe wamejitokeza kwa wingi kuwasilisha migogoro yao ili kupata utatuzi kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, inayoendelea mkoani Pwani.