Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetakiwa kupanua wigo wa uchunguzi wake kwa kujumuisha pia miradi inayotekelezwa na taasisi za dini, ili kubaini na kudhibiti vitendo vya ...
Kauli ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakary Zubery imeibua tafakuri pana kuhusu umuhimu wa kulinda mshikamano wa kidini nchini, hasa katika nyakati hizi ambazo taarifa potofu na uchochezi ...
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, CP Suzan Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini humo, Kulthum Boma, ...
Askofu,Prosper Lyimo wa jimbo jipya la kanisa Katoliki akizungumza mara baada ya kusimikwa kushika wadhifa huo. Picha na Samwel Mwanga Simiyu. Viongozi wa dini wameonywa kutojikita katika kutafuta ...