Usiku usio na mwezi katika mji wa Naivasha, kando ya ziwa nchini Kenya, Anne ameketi ndani ya nyumba yenye vyumba viwili, akiwa amechoka baada ya kazi ngumu ya kuchuma na kupanga maua ya waridi. Anne ...