Wanawake wengi kote duniani wanaumia kutokana na hali inayosababisha kusinyaa na kukauka na kutokea kwa vidonda kwenye kuta za uke inayofahamika kwa lugha ya kitaalamu kama vaginal atrophy. Kati ya ...